Jinsi ya kupika vileja vya chumvi

Weka unga kwenye bakuli kisha ongeza sukari, chumvi, yai, maziwa ya unga, butter na hiliki. Changanya viambato mpaka mchanganyiko uwe sawia. Ongeza maji ya uvuguvugu kiasi kwenye mchanganyiko na uanze kukanda. Ni vizuri kukanda mchanyiko huu kwa muda wa dakika 15 ili kuhakikisha donge lote la unga limelainika vizuri.

Jan 29, 2012 · Issa Kesu Dar es salaam, Tanzania As Chef into with excellent qualification and a strong desire to excel in this professional in Hazard Analysis and critical control points (HACCP) which enable me to demonstrate my commitment to food safety and customer satisfaction, as well as continuously meeting the expectations of a changing world. Namna ya kutayarisha na kupika. Pika nyama ya kusagwa kwa kutia chumvi, thomu na tangawizi, pilipili na ndimu. Kabla haija kauka tia Garam masala. Zima moto acha kidogo ipoe tia vitunguu na kotimiri. Funga sambusa katika manda kama kawaida. Pika sambusa katika mafuta ya moto hadi ziwe nyekundu na zikiwa tayari kuliwa.
Nov 11, 2015 · Is a Tanzanian Blog which prepare different food recipes found all over the world.Here you get the chance of reading Swahili and Non Swahili recipes found across the world.The recipes are written by two languages i.e Swahili and English.Welcome all to read and leave your comment about our recipes.

d3 treemap

Makes 4 to 6 dozen biscuits Ingredients 125g butter 100g caster sugar 2 teaspoons vanilla extract 1 egg yolk 1 tablespoon milk 200g sifted plain flour 1/2 teaspoon baking powder 1/2 teaspoon salt 30g cooking chocolate, melted 1 tablespoon milk 2 tablespoons hot milk Method: A} Thoroughly cream butte…

44 mag hollow point bullet mold

Jinsi ya kupika vileja vya chumvi

Vichovye viduara ndani ya ute wa yai kisha zimwagie unga wa karanga na kuzipanga kwenye tray ya kuchomea. Weka dole gumba kati kati ya kila kiduara na uweke jam. Washa jiko (oven) 350F na uchome vileja vyako kwa dakika 20. Toa vileja vyako vipoe na uviweke ndani ya sahani tayari kwa kuliwa.

Unga - 3 Vikombe vya chai. Siagi - 250 gms. Baking powder - 3 Vijiko vya chai. Mayai - 2. Chumvi - 1 kijiko cha chai. Maziwa - 1/2 Kikombe. Pilipili manga ya unga 1 Kijiko cha chai NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA. Katika bakuli la kusagia (blender) au mashine ya keki, tia siagi, chumvi na mayai, piga mpaka iwe kama malai (cream).
May 28, 2010 · huu ndio muonekano safi wa maandazi ya hiriki na tui la nazi enjoy na familia yako kwa chai ya jioni au chai ya asubuhi kwa kitafunwa safi na salama maana hakina mafuta mengi pia chumvi inaaidia kukimbiza mafuta katika unga. Mahitaji 1 kilo mchele wa basmati mrefu 1 kilo nyama iwe ya kuku au ng'ombe au mbuzi kata katika umbo dogo la kutosha kula kisha ichemshe na tangawizi na kitunguu swaumu, unga wa binzari (turmeric powder) pili pili manga na chumvi ili kuweka ladha nzuri.

styrofoam glue michaels

May 28, 2010 · huu ndio muonekano safi wa maandazi ya hiriki na tui la nazi enjoy na familia yako kwa chai ya jioni au chai ya asubuhi kwa kitafunwa safi na salama maana hakina mafuta mengi pia chumvi inaaidia kukimbiza mafuta katika unga.

Intercaste love marriage government benefits